Wanafunzi Baada ya kufika Wizara ya Mambo ya ndani wakimsubiri RPC
Rais wa serikali ya wanafunzi wa IFM Michael S.Charse akijaribu kumuelewesha kamanda KOVA kero inayo wakumba wanafunzi wa Ifm waishio kigamboni.
Afande KOVA akizungumza na wanafunzi wa IFM pamoja na vyombo vya habari.
Wanafunzi wakielekea kigamboniii woteee kwa nguvu mojaaa tumechoka tumechoka
VYUO VYETU TANZANIA
VyuoVyetu Tanzania
Monday, January 14, 2013
IFM...YALALAMIKIA UONGOZI JUU YA YANAYOTOKEA KIGAMBONI
Wanafunzi wa IFM walipo kutana kwa pamoja katika viwanja vya chuoni hapo kabla ya kufikia uamuzi wa kwenda wizara ya mambo ya Mambo ya Ndani.Kupata hitimisho la matatizo ya ujambazi yanayotokea kigamboni kwa wanafunzi hoa, ambapo huibiwa laptop,simu na baadhi ya vitu vyenye thamani. Majambazi/wezi hao huja wengi takribani wanne na mapanga na visu na kuwaacha wanafunzi na majeraha, hali hiyo imekuwa tatizo zaidi kwa muda wa takribani wiki 4 bila chochote kufanyika mpaka imefikia hatua ya wanafunzi wa kiume kuingiliwa kinyume na maumbilee
Baadhi yaWanafunzi wa IFM wakijaribu kuwasiliana na wanafunzi wenzao kuhusiana na matatizo yaliyotokea
Baadhi yaWanafunzi wa IFM wakijaribu kuwasiliana na wanafunzi wenzao kuhusiana na matatizo yaliyotokea
Subscribe to:
Posts (Atom)