Wanafunzi wa IFM walipo kutana kwa pamoja katika viwanja vya chuoni hapo kabla ya kufikia uamuzi wa kwenda wizara ya mambo ya Mambo ya Ndani.Kupata hitimisho la matatizo ya ujambazi yanayotokea kigamboni kwa wanafunzi hoa, ambapo huibiwa laptop,simu na baadhi ya vitu vyenye thamani. Majambazi/wezi hao huja wengi takribani wanne na mapanga na visu na kuwaacha wanafunzi na majeraha, hali hiyo imekuwa tatizo zaidi kwa muda wa takribani wiki 4 bila chochote kufanyika mpaka imefikia hatua ya wanafunzi wa kiume kuingiliwa kinyume na maumbilee
Baadhi yaWanafunzi wa IFM wakijaribu kuwasiliana na wanafunzi wenzao kuhusiana na matatizo yaliyotokea
No comments:
Post a Comment