VYUO VYETU TANZANIA

VyuoVyetu Tanzania





Tuesday, August 28, 2012

Raia apigwa risasi ya kichwa MOROGORO

Jeshi la polisi Morogoro...... ni katika kuzuia vurugu zilizo tokea katika kituo cha msamvu wakati wakizuia makutano ya wanachama wa chadema katika eneo hilo la msamvu ilikuwa ni vurugu kubwa mpaka ikawafanya jeshi la polisi kutumia vyombo vya moto kuzuia makutano hayo na kusababisha raia mmoja kupigwa risasi ya kichwa kama unavyo ona pichani..Hata kusababisha abilia wengine kutoka katika mikoa tofauti kushindwa kutumia kituo hicho cha msamvu na wengine walio kuwapo katika kituo hicho kudhulika.
SERIKALI YETU.... IVI HAKUNA NJIA NYINGINE YOYOTE ILIYOSTAILI KUTUMIKA KUZUIA HAYO MAKUTANO?NAKUFANYA MTUMIA SILAHA...MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONII...AMINA

No comments:

KILUVYA

KILUVYA
MASHONO

UDOM

UDOM
DODOMA UNIVERSITY