Chuo Kikuu cha Dodoma, ni chuo kikuu ambacho bado kinajengwa mjini Dodoma, Tanzania. Ujenzi unafanyika katika kipande cha ardhi cha hekta 6,000 karibu na Dodoma kilomita 400 magharibi mwa mji wa Dar es Salaam.
Mafunzo yalianza mwaka 2007, wakati wanafunzi zaidi ya , walijiunga na programu zilizotolewa katika vyuo vya Humanities, Sayansi ya Ujamaa, Elimu na 'Informatics and Virtual Education'. Vyuo vya Sayansi ya Maisha na Afya na Sayansi zinazolingana zilianzihswa mwaka.
Sambamba na Maono ya Nchi ya Maendeleo ya 2025, Chuo Kikuu cha Dodoma, kikishamalizika kamili, kitaweza kuwachukua wanafunzi 40,000 katika taaluma mbali mbali. Hii ni zaidi ya mara mbili ya ukubwa wa sasa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Hata hivyo, chuo kikuu cha Dodoma bado kiko katika maendeleo.
UDOM
0.2 ya 10 ya eneo moja la chuo
No comments:
Post a Comment